Web Toolbar by Wibiya

Friday, June 21, 2013

HUU NDIO UKWELI KUHUSU WIMBO “YAHAYA” WA LADY JAYDEE

Katika kusikiliza wimbo mpya ya mwanadada LADY JAYDEE uliotoka hivi karibuni ukitambulika kwa jina YAHYA, nikaona kama ina ukweli fulani ndani yake na ndipo nilipoamua kumuuliza muhusika na kunijibu kuwa Yahya ni wimbo alioutunga kutokana na tabia za baadhi ya watu tunaoishi nao katika maisha yetu ya kila siku na maisha yao ni uongo wa kusabisha utapeli kwa watu na mali zao akiwemo huyo YAHYA.
Katika pitapita na uchunguzi, TEAMSWAGGZ imegundua kuwa YAHYA yupo na anaendelea na mambo yake ya utapeli na uongo baada ya kufuma taarifa kwenye mtandao wa jamii wa Facebook iliyoandikwa na Mr. JOHN wa huko Arusha kuwa YAHYA aka HISBERT akimtambulisha kama “A New TAPELI IN ARUSHA kuwa amefanikiwa kukutana na YAHYA na ameweza kuhadithia aliyokutana nayo baada ya kukutana nae.
JOHN: I met this guy last night in the Heineken UEFA final @ Mango Tree,,, He just came and show up to us and introducing himself as a Immigration Officer from dar es salaam and he is in Arusha for special Task, especially for us MUZUNGU who lives here since most of us are illegal here. He told us not to tell anyone that we met him and he wanted to meet us next day >TODAY> for lunch because he had our files and we were the target by Immigration of Tanzania.

He left us the business card with his contact. I really wanted to meet him today since i was so curious to hear the story behind us.


Luckily,,, When i woke up this morning i just decided to Google him, since i had his name on business card. What i find on Google was all off his criminal record from PCCB (Prevention and Combating of Corruption Bureau), I was really shocked and i decided to share this with my fellow Arusha People. Be aware of this guy he is known as HISBERT KIJJAH.

Tip: He speak very broken English,, am not sure if this guy has finished Primary School, He is Muscled, And he is told me that he is a trainer in a GYM @ NJIRO COMLEX,, am not sure if he was true.

I attach the link and some photos of him so you will not be the next victim.

www.pccb.go.tz/index.php/investigation/sport-news/prosecution-news/138-258635646
You can even find him on Facebook known as Hisbert Khijjah or you can Google him by the name of Hisbert Kijjah.

Best regards.
JOHN.

Please share this to keep Arusha the best place.

0 comments:

Post a Comment